(All Latest news and downloads)
TANGAZO LA MAHAFALI YA TATU YA CHUO CHA ST.MAXIMILLIANCOLBEUongozi wa chuo cha St.maximilliancolbe unapenda kuwatangazia rasmi kuwa tarehe16 Disemba 2023 (Jumamosi) kuanzia saa 03:00 asubuhi kutakuwa na sherehe ya mahafali ya tatu ya chuo yatakayofanyika katika eneo la chuo cha St.Maximillian Tabora
|
|
| 1. Download Filename-tangazo la mahafali-copy.pdf | |